Futa akaunti yako ya KenteXa

KenteXa (programu iliyoitwa zamani Bishoo Tanzania, com.app.bishoo), inayoendeshwa na Bishoo Intelligence Systems (BiS), Tanzania.

Ndani ya programu (njia ya haraka)

Fungua KenteXa, ingia, nenda Wasifu → Mipangilio, bonyeza Futa akaunti. Tutakutumia namba 6 kwa SMS; ukiiweka, akaunti inafutwa papo hapo.

Bila programu

Tuma ombi kutoka kwenye namba ya simu au barua pepe uliyotumia kufungua akaunti:

Barua pepe support@kentexa.com
Kichwa cha ujumbe: "Futa akaunti yangu". Andika jina lako na namba ya simu ya akaunti.

Tutakuthibitisha kwa namba ya SMS kwenye simu ya akaunti kabla ya kufuta, ili mtu mwingine asifute akaunti yako. Tutakujibu ndani ya siku 7.

Kinachofutwa

Ukifuta ndani ya programu, data binafsi inafutwa papo hapo. Ombi kwa barua pepe linashughulikiwa ndani ya siku 30.

Kinachohifadhiwa kwa muda

Soma zaidi kwenye Sera ya Faragha.


Delete your KenteXa account

KenteXa (the app formerly named Bishoo Tanzania, com.app.bishoo), run by Bishoo Intelligence Systems (BiS), Tanzania.

In the app (fastest)

Open KenteXa, sign in, go to Profile → Settings and tap Futa akaunti (Delete account). We send a 6-digit SMS code; once you enter it, the account is deleted at once.

Without the app

Email support@kentexa.com from the phone number or email on your account, with the subject "Delete my account", your name and the account's phone number. We confirm with an SMS code to the account's phone before deleting, and reply within 7 days.

What is deleted

Your profile (name, phone number, email, photos, bio), your posts, listings, products and resale offers, and your notifications. Messages you sent in the inbox stay with the person who received them, without your name. Deleting in the app erases personal data at once; an email request is handled within 30 days.

What is kept, and for how long

Order, invoice and payment records are kept for 7 years as required by law, without your name or phone number. Parcel tracking records are kept for 2 years.